Kabwa - Swahili - English


a
b
c
d
e
f
g
h
i
j
k
m
n
o
p
r
s
t
u
w
y

r


-rorana natnz-onana nameet with, visitMaayi yaagya okurorana na abhaana bhaaye mwigobhero.Mama alienda kuonana na watoto wake kivukoni.The mother went to meet with her children at the river crossing.
-roroogatnz-ongea bila mpangoramble on (i.e., speak on and on in a disorderly manner)
-rosatnz-chokatire, get tiredAbharimi bhanú bharaturimira bhatakurosa bhakyari okumara obhurime.Walimaji wanaotulimia hawachoki kabla hawajamaliza sehemu ya kulima.The farmers who are farming for us don't get tired before they finish the section of farmland.
rubhebheeleupande (mwelekeo)sidewaysAragenda rubhebhe.Anatembea upande.She is walking sideways.
-rugatnz-piga kasiapaddle, row (a boat)Peetero yaaruga eguru ya kunyanja ya Gariraaya bhutiku bhuyo bhwa omuyaga omuhaari.Petro alipiga kasia juu ya bahari ya Galilaya usiku huo wenye upepo mkali.Peter rowed on the Sea of Galilee that night with the strong wind.
rugumyabharugumyanmbahilimiser, stingy person
rugurunmmasharikieast
-rugutatnz-okotapick up
-ruguuratnz1-shangaabe surprised, be shocked2-staajabube amazed, be astonished3-sikitikabe sad
-rujatnz-chota (na mapembe ya mnyama)buck (with an animal's horns)
-rukatnz-fuma, -suka, -sokotaweave, braid, plait
rukorugarukorunmkipanga (aina ya mwewe mdogo)sparrowhawk
-rumatnz1-uma (-dhuru mtu au mnyama mwingine)bite, stingHamis hanú ararwana na abharikyaye, mpaka abharume.Hamis anapopigana na wenzake, mpaka awaume.When Hamis fights with his friends, he even bites them.2-uma (-pata maumivu)be painful, hurt (of one's body)Enda yaani, hanú bhuhikiri bhutiku eraruma bhukongʼu.Tumbo langu, unapofika usiku linauma sana.When night comes, my stomach hurts a lot.
-rumiirira1tnz-umwa tumbohave a stomachacheEnda yaani erarumiirira.Tumbo langu linaumwa.My stomach is hurting.
-rumiirira2tnz-umauma (k.m., chakula)nibble on (e.g., food)
-rumwa endatnz-umwa tumbohave a stomachacheenda1-ruma
rumwielemara mojaonce
rumwigoeleghaflasuddenly, immediately
-rundumatnz-nguruma (k.m., simba, mtambo, mbwa, n.k.)roar (e.g., of a lion, machine, dog, etc.)
-rungatnz-unga (kiungo kwenye chakula)season (food)
-runguratnz-ungua mpaka kukosa thamanibe burnt to a crisp
-runguryatnz-unguzasinge, char
-rura1tnz-wa na uchungu (kwa ladha)be bitter (in taste)
-rura2tnz1-wa na ukali (k.m., mtu au mnyama)be fierce2-wa na ukali (k.m., pombe)be potent (e.g., alcohol)3-angaa (k.m., mwanga wa jua)be bright
-ruru1vum-chungubitterObhura m-bururu.Utumbo ni mchungu.Intestines are bitter.