Kabwa - Swahili - English


a
b
c
d
e
f
g
h
i
j
k
m
n
o
p
r
s
t
u
w
y

t


-tonokyatnz-tonesha (kidonda)reinjure, reopen (a wound)
-tooja1tnz-acha kulima (kwa siku)quit farming work (for the day)Mugende okurima nawe mwiraabhe okutooja, muhinde hiika omubhasu gukyari kubhara mwaru.Nendeni mkalime lakini muwahi kuacha, mrudi nyumbani jua halijaanza kuwaka sana.Go farm (you all), but quit early and come back home before the sun gets really hot.
-tooja2tnz-donoa (kwa ndege)peck (for birds)Enkoko eratooja amasoori.Kuku anadonoa mahindi.The chicken is pecking at the corn.
-toojyatnz-lipishacharge (money)
-toongʼanatnz-gombana (kwa maneno)argue, quarrel
-toongʼanʼyatnz-gombeza, -karipiascold, reprimand
-toonyatnz-tona, -dondoka (kwa kitu cha majimaji)drip, streamAmanji garatoonya kurwa mwidumu.Maji yanadondoka kutoka kwenye ndoo.The water is dripping from the bucket.
-toonʼyatnz-sifu (mtu)praise (someone)
-toonyekeratnz-dondoka (kwa kitu cha majimaji)drip
-tooratnz-chukua sehemu za mwili wa mtu ili kuzifanyia uchawiuse human body parts for witchcraft
-toroorokatnz-kosa rutuba (kwa shamba)be infertile (of farmland)
-toryatoryatnz-katakatamince, cut up (into small pieces)
-tubhatnz-fukia (moto)extinguish (a fire by covering it with dirt)
-tubhiryatnz1-zamishaimmerse (something), plunge (something into water)2-tumbukizadrop into, throw into
-tubhukatnz1-gundulikabe discovered2-onekanabe visible3-ibukaemerge
-tubhuratnz1-fichua, -funuauncover, expose, reveal2-weka wazi, -fumbuadisclose, bring to lightomutubhuriiri
tubwiingchubwi (yaani, mlio wa kitu kinachoanguka majini)kerplunk (i.e., sound that something falling into water makes)
-tuga1tnz-fuga (wanyama)herd (animals), domesticate (animals)
-tuga2tnz-tunza (kwa kuangalia mtu)care for (someone by looking after him or her)
-tugikatnz-egemezasupport, prop upGenda otugike kumuti harya entaari yaaho.Nenda uegemeze pale kwenye mti baiskeli yako.Go prop up your bicycle on that tree there.
-tuhatnz-zawadia, -toa zawadigift, give a gift
-tukatnz-tukanainsult, abuse (verbally), curse
-tukunyatnz-finginyika (yaani, -tembea kama funza)wriggle, squirm (for a bug like a maggot)
-tuma1tnz-tuma, -agiza (mtu kwenda kwa kazi fulani)send, instruct (someone to go do a certain task)Tuma omwana akureetere amanji ga okunywa munsengo.Agiza mtoto akuletee maji ya kunywa kwenye mtungi.Send the child to bring you drinking water in a jug.
-tuma2tnz-shonasew, mendMaayi aratuma egingibho gya abhakari.Mama anashona nguo za wanawake.Mother is sewing the women's clothes.