Alfabeti ya Kiikizu-Kisizaki

 

Kuna herufi 27 katika alfabeti ya Kiikizu-Kisizaki, kama zifuatazo:

 

a  bh  ch  d  e  f  g  h  i  ɨ  j  k  m  n  ng'  ny  o  p  r  s  sh  t  u  ʉ  w  y  z

 

Sehemu ya kamusi iliyo na maneno ya Kiikizu-Kisizaki kwenda kwenye Kiswahili na Kiingereza inafuata mpangilio wa herufi kama ulioonyeshwa hapo juu.