Kabwa - Swahili - English


a
b
c
d
e
f
g
h
i
j
k
m
n
o
p
r
s
t
u
w
y

h


-hiratnz-pelekatake to
-hirigatnz1-lazimishaforceHiriga egingʼombe gisohe mwiigo.Lazimisha ng'ombe waingie zizini.Force the cows to go into the pen.2-tengeneza (kitu) vibayamake (something) wrongTaata akahira ekitambaara kya esyure kumukonji nawe omukonji akahiriga omwenda gukaanga okujoma.Baba alipeleka kitambaa cha shule kwa fundi lakini fundi aliitengeneza vibaya nguo haikupendeza.Father took the cloth for a school uniform to a tailor but he made the clothes wrong and they didn't look good.
-hiriganʼyatnz-sukumiza, -sogeza mbele (kitu au mtu)push forward, drive forward (something or someone)Egingʼombe gyatamwa okuhita murukondo kwa okubha rwanga runyintu, jaaji akankeerya ngende ngihiriganʼye gihite bhwangu.Ng'ombe waliposhindwa kupita kwenye njia maalumu ya wanyama kwa sababu ilikuwa finyu, babu akaniambia niende nizisogeze mbele zipite kwa haraka.When the cows failed to pass by on the path because it was narrow, grandfather told me to go drive them forward quickly.
-hirimatnz-asidisobey, rebel
-hiringitatnz-teremkacome down, go downEmbura ekoreri amatoto gahiringitiri okurwa kunkuku.Mvua imefanya matope yameteremka kutoka mlimani.The rain made the mud come down from the mountain.
-hiringityatnz-viringisharoll (something), spin (something)
-hiriratnz-toa sauti (ya ngurumo ya mvua kwa mbali)patter (e.g., of rain falling in the distance)
-hisyatnz-iva, -komaa (kwa mapishi ya chakula)be ready (food)
-hitatnz1-pita, -ovatekipass by, overtake2-pita (kati ya kitu)pass throughEkisyeri kinu kirahitya obhurabhu bhwaheene.Dirisha hili linapitisha mwanga vizuri.This window lets light pass through well.3-pita (juu ya kitu)pass over4-pita (kwa muda)pass (in time)5-pita (kwa ubora)surpassokuhitira
-hitiiranʼya1nm-pitilizapass byOmugeni weetu yaaringa araaja hiika, akahitiiranʼya na enjira, akagya mwisisi.Mgeni wetu alikuwa akija nyumbani, akapitiliza na njia, akaenda porini.Our visitor was coming toward the house, but he passed by on the path and went into the wilderness.2tnz-pitiliza (kwa ubora)surpass, exceedObhujomu bhwa Robhi kora bhwahitiiranʼya bhukongʼu.Uzuri wa Robi hata umepitiliza zaidi.Robi's beauty even greatly surpasses (that of others).
-hitiiranʼya na amangʼanatnz1-boboka (yaani, -ongea bila kupumzika)babble (i.e., speak constantly)2-boboka (yaani, -ongea ovyo)blurt out (i.e., speak without thinking)
-hitwa na eribhagatnz-pitwa na wakatibe old-fashioned, be out of style
-hitya amaragiriryotnz-pitisha maagizo (au sheria)pass laws
-hitya omwikatnz-pitisha hewaair out
-hobhoratnz-toboabore (a hole), drill into-tobhora
-hojereratnz-chunga karibu karibuherd (animals) nearby
-hojoojatnz-shawishi, -bembeleza (mtu kwa kumshawishi)coax, persuade
-hokatnz-pofukabe blind
-homatnz-kandikaplaster (with mud or clay)
-honatnz1-pona (kwa maradhi)heal, recover (from an illness)2-pona (kwa shida), -okoa, -nusurikasave, deliver (from trouble)
-hongatnz-toa rushwabribe
-hongoratnz-tapikavomit, throw up
honsegowakpoteeverywhere
-honʼyatnz-ponya (mtu)heal (someone)
hooinghoo (yaani, mlio wa farasi)neigh (i.e., sound that a horse makes)