Warsha ya Kukusanya Maneno Mengi Katika Lugha ya Kiikizu-Kisizaki ilifanyika Nyamuswa, Mara, Tanzania tarehe 16 hadi 27 ya Januari mwaka wa 2017. Siku tatu za mafunzo zilitokea kabla ya warsha yenyewe. Kazi za kila mshiriki zimefafanuliwa mwishoni mwa ukurasa huu. Watu wafuatao walishiriki katika warsha:
John B. Walker, Mtaalamu wa Mambo ya Kamusi
Andrew Joseph Makaza, Meneja Mkuu
Rukia Manyori Mase, Meneja wa Uendeshaji
Wenyekiti wa Vikundi:
Juma K Gobirara
Songora Sasura
Ng’eng’e Karando Mokeka
Amosi M Nyarari
Joseph M Marara
Yakobo Kiraguri
Makatibu wa Vikundi:
Rhoda Ngese Emanuel
Mwasi B Mong’ateko
Daudi Chazenga Sigera
Matwiga Muga
Michael Shija Daudi
Herry E Kisama
Wajumbe wa Vikundi:
Samwel M Kihiri
Fatuma Adamu Giraruma
Rahel C Daudi
Mwirwazi Myingo Magwata
John Joseph Kiryanyama
Tatu Fanuel Magambo
Hasani Mabhi
Simba M Karando
Ketera Songe Ketera
Saba2 M Mgendi
Ester Hazi
Zawadi Bita
Makarani:
Leonard Sirunga Sirikare
Masalu Tambalike
Wasato J Mbisso
Ismael Waryoba
Frank Watson Mwaluanda
Hazel Gray
Watafsiri:
Isaka Kegeso Mtiro
Kishoko Manyori Mase
Makutano Mbeho Waryoba
Martha Mgaya Mataso
Gilbert R. Kezeta
Joseph M. Mbisso
Meneja Mkuu – kupanga kwa warsha na kuhakikisha mafanikio yake
Meneja wa Uendeshaji – kuhakikisha kwamba shughuli za warsha zinaendelea bila shida yoyote
Mwenyekiti – kuongoza kikundi na kueleza mambo kuhusu maswali juu ya maeneo yote ya maana
Katibu – kuandika kila neno la kilugha linalotajwa na kikundi
Mjumbe – kusaidia kutaja maneno ya kilugha katika kila eneo la maana
Karani – kuingiza kila neno na tafsiri yake katika kompyuta
Mtafsiri – kutafsiri kila neno la kilugha kwenye lugha ya Kiswahili