-tebhuratnz-punguzareduce (something), diminish (something), decrease (something)Genda otebhure amanji gayo, ogatuure mundoohu eindi.Nenda upunguze maji hayo, uyaweke kwenye ndoo nyingine.Go reduce the water (in that bucket) and put it another bucket.
-teera1tnz-koma, -ishiacease, come to an endEngʼana iyo muyambisirye eteere hayo kwa okubha yakareete obhubhi kubhantu.Jambo hilo mliloanzisha liishie hapo kwa sababu litaleta ubaya kwa watu.This matter that you began should come to an end right here because it will bring bad things for people.
-teera2tnz-weka (sehemu fulani)put, placeMuteere egimbirya giyo kukitangura muriiko hayo, yaaje agende okugura ebhyakurya kumudiira.Mwekee pesa hizo kwenye meza chumbani hapo, aje aende kununua chakula sokoni.Put the money for him on the table in the room there so that when he comes, he can go buy food at the market.
-teera3tnz1-pisha (kitu kwa mtu)give, pass (something to someone)Muteere omugeni ekitumbi yeekare.Mpishe mgeni kiti akae.Pass the visitor a chair so he can sit.2-pisha (mtu au kitu)let (someone or something) pass
-tega okutwitnz-sikiliza (sis., -tega sikio)listen (lit., trap the ear)
-tegeryatnz-pendeza, -vuta (kwa sura nzuri)look nice, be attractiveAhasi hanu harategerya.Mahali hapa panapendeza.This place looks nice.
-teguratnz1-tegua (mtego)disarm (a trap)2-tegua (kiti)fall out (of a chair)3-epuatake off the fireBhaakeerya Nyangi ateeke eginswi mpaka gihye, naho weeki akagisabhya bhwangubhwangu, akagitegura-ko eginswi, akagya okuhooya na abharikyaye.Walimwambia Nyangi apike samaki hadi ziive, lakini yeye akazichemsha harakaharaka, akaziepua samaki, akaenda kucheza na wenzake.They told Nyangi to cook the fish until they were done, but she boiled the fish quickly, took them off the fire and went to play with her friends.